Tujaribu tusaidie muimbaji Papa Toma kupata namba ya Shiru. shinda ksh10,000 press Call button uone kama utamreach!
Papa Toma alitoa ngoma ya kikuyu inaitwa number ya shiru, na ikalost, akatuimbia vile anaisaka. TUsaidiane kupata hiyo number. fuata hizo clues uone kama utamake kucall Shiru. Call button and see if you reach her!
🧩 The Clues
clue 1: Hii number, si number ya kawaida. Jaribu kupanua hizo akili zako.
clue 2: haya, kwa hiyo ngoma, kuna number wameweka hapo but si complete. Sasa nakushow sai, hiyo number nichocha. Number legit ya Shiru iko na 2 moja.
clue 3: Angalia logo ya njoki drips. Hii logo inakupea clue za the 9th and 10th digits za number ya Shiru. Angalia tu hiyo logo. jaribu kupata the 9th and 10th digits.
clue 4: Sasa hapa ndo mtego iko. Hii ndo inakushow kama wewe ni genius amh...(wacha nisibonge) Unacheki clue 3, hiyo clue ni important for two reasons, one ni kushow tu mapema ni cause kwa number ya shiru kuna 3 mahali, na 2 ni ukidai kuconfirm clue 3, angalia clue 7.
clue 5: Nataka ukumbuke before clue 5, umecheki clue 7 kwanza. kuna sababu. Hiyo ndo trick muhimu sana kwa hii shuguli yote. kumbuka 7 alafu 5. usiseme hukuambiwa.
clue 6: kutoka hapa the normal reverse order of the numbers continues.
clue 7: kuna digits mbili clue 3 ilikupea, ndo ujuwe kama you are thinking right, i'll confirm it by saying "language that computers understand." sasa enda clue 5.
clue 8: Hii ni rahisi, digit ya tatu ya number ya Shiru ni 7.
clue 9: Unajuwa countdown ni nini. Baas, think in those lines.
clue 10: sai uko na idea probably, ukisha pata number call hapa down.